KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA  SHEKH ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWA SASA YUPO HOSPITALI YA  RUFANI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA  SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI ILITARAJIWA KUTOA  TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.
SHEKH ISSA PONDA AKIUGUZWA MUHIMBILI
SEHEMU ALIYOJERUHIWA  SHEKHE ISSA PONDA
Chanzo: Janvi la Habari
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top