CHANZO CHA TAARIFA HIZI KIMEITONYA KALIUA BLOG KUWA WASANII HAO WALIKUWA WAKIUNGUA MAENEO YA NGARENARO NA BILA KUSHTUKIA KUWA TAYARI VIJANA WA MWEMA WALIKUWA MAENEO HAYO WAKIWA DORIA NA KUSIKIA HARUFU YA CHA ARUSHA NDIPO WALIPOWAIBUKIA NA KUWATIA NGUVUNI.
BADO TUNAZIFUATILIA TAARIFA HIZI ILI KUJUA HATIMA YA KADHIA HIYO YA RAP MAKER HUYO AMBAE BADO NI MDOGO KIUMRI JAPO AMEANZA KUJIHUSISHA NA MAMBO MAKUBWA NA YASIYOFAA.
Chanzo:Bongoclantz.com TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment