Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ndugu Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Manispaa ya Songea jana jioni kwenye uwanja wa shule ya Msingi Matalawe.


 

Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe katika manispaa ya Songea kwenye uwanja wa Matalawe.



 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alipokuwa akiwasili katika uwanja wa Matalawe tayari kushiriki katika mkutano wa hadhara.

Mwenyekiti Freeman Mbowe akisikiliza kwa makini salamu za viongozi wake wa CHADEMA walizokuwa wakitoa kwa wananchi.
nm
Kaimu mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Lindi, Ally Omary Chitanda, akitoa salaamu zake kwa wananchi katika mkutano uliofanyika jana katika manispaa ya Songea kwenye uwanja wa Matalawe.


Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitoa salamu zao kabla ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kuhutubia wananchi.

Burudani ikiendelea jukwaani

 Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba.
Wananchi wakishiriki kwa vitendo wakati wa hotuba.

PICHA NA AZIMIOLETU BLOG
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top