Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai
Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda
kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21,
2013
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe,
akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 201
Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua
pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua
nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Februari 21, 2013.
:Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza wakati wa
uzinduzi rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya
jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya
Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21,
2013
Madiwani wa kinondoni
Sehemu ya barabara iliyopewa rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
MC Ephraim Kibonde akiwa kazini katika
uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi
ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya
Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21,
2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na Mwenyeji wake Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika uzinduzi rasmi wa jina la Barabara ya Mwai
Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph
Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar Rais Mwai kibaka huku
Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia katika uzinduzi
rasmi wa jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba
la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo
na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
PICHA NA IKULU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment