Walimu
wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa
katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya
Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013
kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya
kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI
YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya
taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye
hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO
Bofya hapa: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment