Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo)
Nahodha wa Zambia Christopher Katongo akiwa na Mtangazaji wa Mlimani Tv/Radio Anuary Mkama wakati wa mazoezi

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo inashuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumenyana na mabingwa wa Afrika, Zambia ‘Chipolopolo’ ama Risasi za Shaba, katika mchezo wa kujifua kabla kutetea Kombe lao nchini Afrika Kusini mapema mwakani.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top