MAHALI AMBAPO LORI LILILALIA
PICHA MBALIMBALI ZINAZOONESHA JINSI LORI HILO LILIVYOPINDUKA |
|
BAADHI YA WATU WAKIANGALIA HALI ILIVYO KATIKA ENEO LA TUKIO |
BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI KUPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA MPAKA TUNA TOKA HOSPITALINI HAPO TUMEACHA MAJERUHI WATANO WAKIENDELEA KUPATA MATIBABU |
JINAMIZI LA AJALI LIMEZIDI KUIKUMBA MBEYA AMBAPO WATU WATATU WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI LA KAMPUNI YA KICHINA LILILOKUWA LIMEBEBA KIFUSI KUKATIKA BREKI NA KUPINDUKA MAENEO YA MWANSEKWA BARABARA YA CHUNYA MAJIRA YA MCHANA WA SAA 7 LEO. MPAKA SASA MAITI MBILI ZIMETAMBULIWA NA MOJA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMBULIWA.
CHANZO: MBEYA YETU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment