Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA) ni chama kilichoanzishwa mwezi Aprili 2012.na kufanikiwa kupata usajili kamili mwezi Machi 2013 kupitia kwa msajili wa vyama vya kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani na kupewa namba S.A 18732.

2.DIRA
Dira ya CHAWAUMAVITA ni kuwa CHAMA cha mfano kitakachochangia upatikanaji wa huduma bora na endelevu kwa watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, akili na Viungo Tanzania ili kuhakikisha watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, akili na Viungo wanasaidiwa kukabiliana na changamoto zilizopo na kuandaa mazingira bora ya makuzi na maisha yao kwa ujumla
  1. SIKU YA CP DUNIANI
Maadhimisho ya siku ya CP duniani hufanyika kila mwaka ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni mwendelezo wa mwaka jana
“ CHANGE MY WORLD IN 1 MINUTE”
Inadaiwa kuwa :
ü mtoto 1kati yawa 4ambao wana cp hawezi kuongea
üMtoto 1kati yawa 3 ambao wana cp hawezi kutembea
üMtoto 1kati yawa 2 ambao wana cp ana” intellectual disability”taahira ya akili
üMtoto 1kati yawa 4 ambao wana cp ana kifafa
Katika maadhimisho ya mwaka huu tunamtarajia mgeni rasmi atakuwa MH Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda (MB), ambayo yatafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Muda wa saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana,
Leo ndugu zangu waandishi wa habari hatuna mengi ila tuufanyie kazi utafiti uliofanywa huko Nepal juu ya watoto wenye CP ambao wamebainisha yafuatayo,

Nepal research-Moving Ahead for Designing the Future:  Schooling of Nepali Children with Neurological Disorders’

Mr. Bimal Lal Shrestha, CEO, Self-Help Group for Cerebral Palsy, said:  “The results of this study are clear and reiterate what the experts at the Self-Help Group for Cerebral Palsy have been driving. Children suffering from neurological disorders such as Cerebral Palsy can reap the benefits of education if given appropriate care and opportunity. 

Of the cases traced, 89% of children we have helped to get into mainstream education are still at school, and importantly, 100% have been able to learn essential reading and writing skills which will drive opportunities for them and their families in today’s economy”
To conclude, it is necessary to abolish the social stigma attached to Cerebral Palsy, to improve the social as well as medical condition of those affected (both sufferer, parents and community) and provide the best possible education to each and every child, through mainstream education where possible in the revised system,” commented Mr. Shrestha.

Hivyo kutokana na utafiti huo tunaamini na sisi wa Tanzania tuna mahali pa kuanzia

Mwisho tunachukua fursa hii kuwaalika ninyi waandishi wa habari wa vyombo vyote vya habari,viongozi wa chama na serikali,vyama vya siasa, taasisi za serikali, taasisi binafsi, mashirika ya kiraia, wanasiasa, wananchi na wadau wote.katika fursa hii adhimu

Imetolewa na
Bw Jonathan Kawamala
Mwenyekiti
CHAWAUMAVITA
AHSANTENI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top