
Mzoga
wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya
kukutwa na wavuvi ukielea bahari kuu . Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa
mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa
angalia taswira za mzoga huo
0 comments:
Post a Comment