RAIS wa Marekani, Barack Obama
ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu kwa taifa lake baada ya
kuamua kutazama mchezo wa mwisho wa kundi G dhidi ya Ujerumani akiwa
kwenye ndege yake binafsi.
Obama alikuwa anasafiri kwa
ndege kutoka Maryland kwenda Minnesota wakati Marekani ikicheza
mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo kupitia matangazo ya
moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege yake.
0 comments:
Post a Comment