MAELEKEZO MUHIMU
Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo haya wanatakiwa kuripoti Chuo cha Ualimu Morogoro kuanzia tarehe 18/10/2013 hadi 20/10/2013.
Wanafunzi wanatakiwa kufika chuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
- Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania vya Kidato cha NNE na SITA;
- Ada ya muhula wa kwanza sh. 100,000/= ;
- Sare ya Chuo (Suruali/sketi: koti na tai nyeusi; shati ya mikono mirefu ya rangi ya bluu bahari); na
- Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Bofya hapa kupata majina ya waliochaguliwa
Bofya hapa kupata fomu ya kujiunga
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment