Ujumbe unaosomeka, "Precision flight from Bujumbura to Mwanza with an estimate of
50ppl has crashed in lake Victoria when trying to land in Mwanza
airport" [Ndege ya shirika la ndege la Precision iliyobeba abiria wanaokadiliwa kuwa 50 imepata ajali katika ziwa Victoria wakati ikijiandaa kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza] ni katika mazoezi ya kushitukiza ya kujiandaa na majanga endapo
kweli ingetokea ajali ya ndege.
Hivyo, taarifa hizi zipewe uzito wa zoezi na SIYO kweli kwamba kuna ndege imeanguka.
Taarifa hii imewekwa hapa ili kuwatoa hofu na kuwatuliza mawazo mliokuwa mnautafuta ukweli wa taarifa hii inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.

Isitoshe, hadi sasa Shirika la ndege la Precision Air halina
safari za ndege za njia (route) iliyotajwa hapo juu kwenye maelezo
(scenario).
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment