![]() |
Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki |
![]() |
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba |
![]() |
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo |
![]() |
O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu. |
![]() |
Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua |
![]() |
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae |
![]() |
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki. |
![]() |
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni |
![]() |
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita, |
R.I.P Steven Kanumba
credits Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/04/lulu-aongoza-wasanii-na-wengineo.html#ixzz2Pn0Vr4a2 TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment