003.MAHELA DAR 782f7
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu (kushoto)akiongozana na  Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kumpokea katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi karibuni.

004.MAHELA DAR 98df6
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw. Matina Nkurlu (katikati) akiongea na Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)(kulia)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu hivi karibuni kiasi cha shilingi Milioni 100. Anayeshuhudia kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mabasi Ubungo.

005.MAHELA DAR 3c297
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza kwa umakiini Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100 Bw.Valelian Nickodemus(22) akiwaelezea jinsi atakavyotumia fedha zake mara baada ya kukabidhiwa rasmi hivi karibuni.

007.MAHELA 2d92e
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akimpokea Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu  kiasi cha shilingi Milioni 100.atakazokabidhiwa hivi karibuni.

008.MAHELA c0207
Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(kushoto) akimsikiliza kwa umakiini mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi karibuni. Kulia ni  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw. Matina Nkurlu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top