Menu
  • About
  • Contact
    • t
  • Menu
  • twitter
  • facebook
  • google
  • rss
  • linkedin
  • dribbble
  • pinterest

Azimio Blog

Haki na Usawa

Menu
  • HOME
  • SIASA
  • UCHUMI
  • KIJAMII
  • MAGAZETI
  • MICHEZO
  • TEKNOLOJIA
  • ELIMU
  • TANZIA
Home » »Unlabelled » Matokeo Darasa la saba mwaka 2012 yatoka

Matokeo Darasa la saba mwaka 2012 yatoka

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Shukuru Kawambwa

Jumla ya watahiniwa  laki 5 sitini elfu mia saba na sita (560,706) kati ya wanafunzi laki 8 sitini na tano elfu mia tano thelathini na nne (865, 534) ambao ni sawa na asilimia 64.7 wamefaulu mtihani wa taifa wa darasa la saba
uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu.

Akitangaza matokeo hayo jijini Dar es salaam waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dk.Shukuru Kawambwa amesema matokeo hayo ya mwaka huu yanaonesha kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 8.8 ukilinganisha na matokeo ya mwaka jana. Amesema kati ya watahaniniwa waliofaulu ,asilimia 50.2 ni wasichana na asilimia 49.8 ni wavulana

Waziri Kawambwa amesema ukilinganisha na mtihani wa mwaka jana,vitendo vya udanganyifu vimepungua ambapo wanafunzi 293 pekee ndio waliofutiwa matokeo kutokana na udanganyifu huku  kwa mwaka jana jumla ya wanafunzi 9,736 walibainika kufanya vitendo hivyo.

Waziri Kawambwa ameongeza kuwa  jumla ya wanafunzi 3,087 wamefaulu kwa daraja A,wanafunzi 40,683 wamefaulu kwa daraja B  huku wanafunzi 222 wakifaulu kwa daraja C.




{cwHeading}

  • nuptialjaylinYou have Unread Messages.
Close Chat WindowMaximise Chat Window
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
3:40 PM
Unknown
Next
Newer Post
Previous
Older Post

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)
x


About Me

View my complete profile

Total Pageviews

  • Populars
  • Comments
  • Archive

Popular Posts

  • SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI YAPINGWA BUNGENI, SERIKALI YAWEWESEKA.
      Jaji Frederick Werema akizungumza Bungeni Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema jana ameangukia pua baada ya Bung...
  • SIRI YAFICHUKA.... CHADEMA WALITUMIA MITAMBO MAALUM YA DVR KUMNASA MLIPUAJI WA BOMU LA ARUSHA
    Imethibitika kwamba technolojia ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi cha kufikia kuwa kumbe siyo lazima tutegemea...
  • BEI ZA VYAKULA JUU KUELEKEA KRISMASI
    Wakati kesho ni sikukuu ya Krismasi, maelfu  ya waumini wa dini hiyo wako kwenye maandalizi ya mwisho ambapo wamelalamikia kupanda bei za b...
  • Zaidi ya watu,kampuni 1,000 kuhudhuria mkutano wa nishati Arusha
    Na Baltazar Nduwayezu,EANA Zaidi ya watu 1,000 kutoka Afrika Mashariki na sehemu nyingine duniani wanatarajiwa kuhudhuria mkutano wa wa...
  • VUMBI LA LALA SALAMA VPL LABISHA HODI
    Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza kesho (Januari 26 mwaka huu) kwa raundi ya 14 am...
  • Full Time Simba 2 Azam 2
    Hatimaye mechi kati ya Simba na Azam imeisha na matokeo ni 2-2.
 
Azimio Blog © 2013. All Rights Reserved. Powered by Blogger
Top