Mbunge wa jimbo la Kawe Mheshimiwa Halima Jamse Mdee,ameibuka kidedea na kuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake Chadema kwa kupata kura 165 huku mtu aliyemfuatia kwa karibu akipata kura 35. Akiongea na ITV mara baada ya kupata matokeo hayo,mbunge huyo amesema matokeo hayo yamedhihirisha ni kwa jinsi gani anakubalika kwa wakinamama ndani ya chama hicho.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top