JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA WATAJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI JUNI 2014, KWA UTARATIBU UTAKAOTOLEWA MWISHONI MWA MWEZI APRILI 2014 NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).
JKT 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

9 comments:

Anonymous said... May 9, 2014 at 11:27 PM

mbona majina yenyewe siyaoni? anyone
to show me the exact link.

Anonymous said... May 10, 2014 at 7:36 AM

Usanii tu, wanawadanganya, hamna website ilotoa majina mpaka sasa.
Website ya JKT iko blocked tangu jana usiku, inafanyiwa updating. Itakapokuwa tayari na majina yakitoka, yatakuwa releasesd kwenye web.
Kuweni na subira, MSIDANGANWE!

Anonymous said... May 10, 2014 at 11:25 AM

actually by ile mchana jana watu walishaona majina yao on web....ipo on matengenezo coz watu wengi wanaiview websyt so na net yetu ya bongo thats how inaonesha...God knows i pray tusiende yan watufikirie kwa kweli...

Anonymous said... May 10, 2014 at 11:34 AM

Honestly speaking i would do anything for my country...I LOVE TANZANIA but sidhani kama this is such a good thing for me...watufikirie...watu wengi watadrop out of school for this thing..ppo hawatafika form 6...and honestly its like a punishment for going to form 6...yan i pray mconsider 2014 form 6 leavers..kwanza tumesoma more than mda tuliopasa kusoma..then now we hear about grades kupanda then this....hali hiyo form six wa awamu ya mwisho 2013 hadi leo... hawajaenda..plz yan...just think of us or msifanye kuwa ni lazima...volunteers wapo wengi tu mtapata..some of us wagonjwa..yan please i know leadership is also about listening to your people..then just listen to this...

Anonymous said... May 11, 2014 at 4:38 PM

vijana...mi nlienda 2013, trust me co mbaya kama mnavyofikiria...i shouuld agree the first 4-5 weeks ni ngumu but ukishazoea na hata kuanza kudoji(uckamatwe lkn) lyf linakuwa so easy.
usiwe tu kimbelembele sana..hizo kazi mtazoenda fanya haziishi,hata Nyerere alizifanya na bado zipo.

Anonymous said... May 12, 2014 at 12:22 AM

Daa kwa kweli jamaa zangu jipangeni cya kutosha' maana kule ni noma wale mashostito lazma mchakae muwe Kama sklepa af anzeni mazoez us kutosha atleast"ukiamka piga pushups ka mia tu. Hahahahahaaha natania wajameni msiogope kwanza kule Wale mamodo ni modoe ka mm lazma mnenepe chezea msosi wa jesh ww mi nlirudi shavu dodo, mi siombei muende ila ikitokea bas kapigen jaramba lao miezi mitaa mrudi ktaa na mautundu ya. Jesh


Hyera Gerald said... May 12, 2014 at 2:43 AM

Komaen madogo, Hilo halina mjadala

Hyera Gerald said... May 12, 2014 at 2:58 AM

Mim mwenyewe nilikuwa Ruvu JKT, ninachowaambia ni kuwa jeshi halina formula, cha kufanya ni kuwait kama umekuwa miongon mwa wanaokwenda au haupo, nia ni kupata vijana wakakamavu na wenye uzalendo na nchi yao, wako vijana hata jembe hawalijui, wengne mboga, mahind na nafaka zote wanaziona zikinunuliwa tu, hawaja wai kuona zilimwavyo na kuvunwa, yote hayo mtayaona huko, safal njema jaman... mengi tembelea profile langu nikueleze kule facbook "HYERA GERALD"

Anonymous said... June 6, 2014 at 1:01 PM

Wat if una matatizo ya kiafya and u cant go at all?will it affect u?

 
Top