Polisi mkoani Iringa wakiwa wamezuia msafara wa mgombea
ubunge jimbo la
Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai hawakuwa na kibali
cha kufanya maandamano hayo ya magari. Hapa ni eneo la lango la mji
Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea
kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita …
Polisi mkoani Iringa wakiwa wamezuia msafara wa mgombea
ubunge jimbo la
Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai hawakuwa na kibali
cha kufanya maandamano hayo ya magari hapa ni eneo la lango la mji
Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea
kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita
Hapa polisi wakimtazama mgombea huyo akipita mbele yao.
PICHA NA FRANCIS GODWIN
0 comments:
Post a Comment