Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna
wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha
taaluma ya Polisi Moshi.
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani Mh, Pereira Ame Silima akisalimiana na Mkuu wa
Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika Chuo cha
Taaluma ya Polisi Moshi kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa
wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo hicho.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa hotuba jana katika
ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kabla ya kumkaribisha mgeni
rasmi kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la
Polisi unaofanyika katika chuo hicho.
Maofisa
wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Mhe. Pereira Ame Silima kwenye ufunguzi
wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi
unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi.

Picha zote na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment